Kwa nini unahitaji kifaa cha kufuatilia Gari Au Pikipiki cha GPS? 

Kifaa cha GPS Tracker, ni kifaa bora cha ulinzi wa chombo chako cha moto, inalinda gari au Pikipiki yako isiibiwe, na ikiibiwa unaweza kuipata kwa urahisi.

JINSI INAVYOFANYA KAZI.
– Unaweza kuseti gari au pikipiki ikizogezwa upate ujumbe katika simu yako.
– Utaweza kuona Sehemu Gari au Pikipiki yako ilipo wakati wowote.
– Unaweza kuifuatilia Gari au Pikipiki yako inapoenda muda huo huo, endapo itaibiwa,,nk…
– Utaweza kuangalia rekodi ya maeneo ambayo Gari au Pikipiki  imeenda na kusimama.
– Utaweza kujua kasi / Speed ya Gari au Pikipiki yako .
– Utaweza kujua kama Gari au Pikipiki yako imewashwa au imezimwa
– Unaweza kuweka mipaka ya eneo / kwamba gari au pikipiki yako ikivuka upate kujua.

 VIPENGELE.
– Inatumia mfumo wa GSM – 4 – frequency GSM 850 au 900 au 1800 au 1900MHz, Hii ni mfumo unaruhusu kufanya kazi Dunia Nzima, kwa kutumia GSM hadi GPRS, inawezesha kupata taarifa Kupitia mtandao wa internet kwenye Simu yako (SmartPhone) Au Kompyuta.

GHARAMA
Gharama za kufunga ni Tzs: 100,000

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *